Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Hakika watu wema hawafi; daima huishi na wako hai kupitia athari zao nzuri na Mema yao katika Uhai wao.Naam, japokuwa wamehama kutoka dunia hii ya kupita na kutoweka, lakini kwa hakika roho zao zipo pamoja nasi na huendelea kuishi katika ulimwengu wa kiroho.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu awarehemu watu hawa Wema kwa rehema Zake zisizo na kikomo, na awajaalie makazi yao pamoja na Mtume Muhammad (rehema na amani zimshukie yeye) na Ahlul-Bayt wake watukufu na watoharifu (as).
Your Comment